Kwa nini Afrika Mashariki imepata medali chache katika michuano ya Olimpik?

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la wikiendi linaangazia sababu za Kanda ya Afrika Mashariki kushindwa kupata matokeo ya kuridhisha katika michuano ya michezo ya Olimpiki ya majira ya joto pamoja na kuwa iliweza kushiriki michezo kadhaa.