Kumbukumbu ya Hayati Rais Magufuli : Maombi na kuuaga mwili
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay mara baada ya kuwasili. Picha na Ikulu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiuaga mwili wa hayati John Pombe Magufuli
Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu. Picha na Ikulu.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. Picha Ikulu.
Wajasiriamali wa Mau wa Namanga mkoani Dar es Salaam wakirusha maua kama ishara ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Wakazi wa Kinondoni, Magomeni , Kigogo, Msimbazi Center na Karume wakiwa wamesimama kando ya barabara kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa mkoani Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Wakazi wa Biafra Kinondoni wakimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa. Picha na Ikulu.
Wananchi wa Kinondoni Mkwajuni na Magomeni Morocco wakiwa wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Marehemu Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika barabara ya Kawawa kuelekea Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu. Picha na Ikulu.
JWTZ Commanders carrying the casket of the late John Pombe Magufuli from State House to St. Petro Church, Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
Picha namba 6. Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay wakilia wakati Jeneza lenye mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukitolewa Kanisani hapo. Picha na Ikulu.
Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Rais John Magufuli (Picha na Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akimliwaza mke wa hayati John Magufuli, Janeth Magufuli (Picha na Ikulu)
Samia Suluhu Hassan akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Picha na Ikulu.)
Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa Ijumaa na Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma ikulu ya Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
Rais Samia Suluhu akitoa salaam kwa gwaride la heshima. (Picha na Ikulu).
Rais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima. (Picha na Ikulu)
Hayati Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli
Makamu Rais Samia Suluhu wa Tanzania na Rais John Magufuli wakizungumza kwa simu na Rais Kenyatta
Watanzania wasoma magazeti kuhusu kifo cha John Magufuli
Hayati Rais John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ilipo mpendekeza mgombea urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi, 2020, mjini Dodoma, Tanzania.
Rais anaeondoka Jakaya Kikwete akimjulisha mgombea kit cha Rais John Magufuli
Marais wa Jumwiya ya Afrika Mashariki kikao cha 20
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akimsalimia Rais john Magufuli wakati wa mkutano wa 19 wa EAC
Hayati Seif Sharif Hamad alipokutana na hayati Rais John Pombe Magufuli Ikulu 2020.
Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki na Rais John Magufuli wakiwasili Ikulu Dar es Salaam Jan 23 2017
Hayati Seif Sharif Hamad akiagana na hayati John Magufuli baada ya kumtembelea ikulu.