Kuharakishwa kwa mchakato wa kuviondoa vikosi vya kulinda amani Monusco kutoka DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Katika Jarida la Wikiendi wiki hii tunaangazia kuharakishwa kwa mchakato wa kuyaondoa makundi ya kulinda amani MONUSCO Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambavyo vimekaa kwa miaka zaidi ya 20 kwa madai kuwa yameshindwa kurejesha amani mashariki kwa DRC.