Kongamano la Mabadiliko ya Hali ya Hewa COP28 kuanza rasmi Alhamisi Dubai

Your browser doesn’t support HTML5

Kongamano la kila mwaka la Umoja wa Mataifa la mabadiliko ya hali ya hewa COP28 kuanza rasmi hapo kesho mjini Dubai. Kasa kiumbe wa baharini anakabiliwa na tishio la kuangamia... Endelea kusikiliza

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari