Utawala wa Rais Biden unatafuta dola za Marekani bilioni 37 ikiwa ni msaada wa Ukraine katika wiki zijazo kabla ya baraza jipya la wawakilishi kuanza kazi Januari.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari