Mwandishi wetu aliyeko Qatar Sunday Shomari anaungana na studio za VOA Washington DC, kutuletea yale yanayojiri akieleza timu ya Ghana pamoja na kunyakua ushindi dhidi ya timu ya Korea Kusini bado ilikuwa ikishambuliwa vikali sana. Endelea kusikiliza yaliyojiri...
Kombe la Dunia: Ghana yafanya vizuri, Korea Kusini yaonyesha ushindani mkali
Your browser doesn’t support HTML5
Michuano ya soka inaendelea huko Qatar ambako timu nyingi zinaendelea kuwashangaza wengi. Lakini ni kitu gani ambacho kinafanya watu wapata butwaa katika mashindano haya.