Kiongozi wa upinzani na mkosoaji mkuu wa serikali ya Rwanda azuiwa kushiriki uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya Rwanda leo imeamua kiongozi wa upinzani na mkosoaji mkubwa wa serikali hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari