Kimbunga Milton kilichopiga katika Jimbo la Florida chaleta uharibifu na vifo

Your browser doesn’t support HTML5

Kimbunga Milton kilichopiga Florida kimefanya uharibifu na kusababisha vifo.

Zoezi la kuhisabu kura linaendelea Msumbiji huku matokeo rasmi yakitarajiwa baada ya wiki mbili.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari