Kikao cha viongozi wa NATO chafunguliwa kukiwa na ari mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Kikao cha viongozi wa NATO kimefunguliwa huku kukiwa na ari mpya baada ya Uturuki kuondoa upinzani wake kwa Sweden kujiunga na muungano huo.

Takriban wahamiaji 86 walipatikana na kuokolewa na maafisa wa ulinzi wa pwani Uhispania.voa

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari