Kenya yakabiliwa na mfumuko wa bei za bidhaa muhimu

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya kama mataifa mengine ya Afrika inategemea mafuta ya petroli na dizeli kutoka mataifa ya nje, ikiwemo Russia na nchi za Kiarabu.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu kuu zilizopelekea kupanda kwa bei ya mafuta yanayotegemewa kuendeleza uchumi wa Kenya na vipi imeathiri hali ya uchumi wa nchi hiyo. Endelea kusikiliza...