Kenya ina uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya HIV na Ukimwi
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya inakabiliwa na uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya HIV na Ukimwi maarufu kama ARVs, hali iliyochangiwa na kukwama kwa shehena ya dawa hizo bandarini serikali ikishikilia zilipiwe ushuru kwanza.