Magavana wakutana Naivasha

Wacheza ngoma wa Kenya wakitumbuiza wajumbe nje ya ukumbi wa mikutano kwenye picha ya maktaba.

Baraza la Magavana la Kenya lilikutana mwisho wa Juma kwenye mji wa Naivasha ambapo maswala tofauti yalijadiliwa likiwemo swala la mikakati ya kutekeleza ugatuzi.

Your browser doesn’t support HTML5

Naivasha

Harrison Kamau wa VOA alibahatika kuzungumza na Gavana wa Bungoma Ken Lusaka aliekuwa kwenye mkutano huo na akataka kujua madhumuni yao kukutana mjini humo. Sikiliza mahojiano.