Kampuni yajitolea nchini Rwanda kusafisha maji kusaidia familia maskini

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati upatikanaji wa maji salama na ya gharama nafuu bado ni changamoto kwa jamii mbalimbali nchini Rwanda kampuni moja imejitolea kuziba pengo hilo kwa kusafisha maji ya ardhini na kuyauza kwa bei nafuu.