Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu

Your browser doesn’t support HTML5

Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya.

Mashindano ni makali kati ya wanasiasa wakongwe na vijana wengi waliojitokeza safari hii kugombea viti vya bunge kwa kile wengi wamesema ni kuleta mageuzi katika serikali. Lakini pia kumekuwa na kero kwa baadhi ya watu huku wachambuzi wakisema shida ni pesa na baadhi ya wagombea wanatumiwa na mamlaka. Kutoka Kinshasa Mwandoshi wetu Byobe Malenga na taarifa Zaidi.