Kampeni za upotoshaji zaongezeka Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Je? ni njia zipi zitumike kuleta mageuzi chanya kuhusiana na kampeni za upotoshaji zenye lengo la kudanganya mifumo ya habari Afrika? kampeni hizo ambazo zimeripotiwa kuongezeka mara nne tangu mwaka 2022 na kudhoofisha demokrasia na maendeleo Afrika.