Kwa sababu hii, wagombea urais wa Marekani wanaweza kuingia katika kinyang’anyiro hicho rasmi wakati wowote kabla ya uchaguzi. Haya ni maelezo kamili...
Kampeni za Uchaguzi Marekani Zinaendelea Muda Mrefu Kuliko Nchi Nyingine Zote
Your browser doesn’t support HTML5
Kinyume na ilivyo katika nchi nyingine, Marekani haina sheria ya ukomo wa muda maalum wa kampeni za urais.