Kagame atarajiwa kuendeleza utawala wake kwa muhula wa nne

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kuendeleza utawala wake kwa muhula wa nne kutokana na uchaguzi usiokuwa na ushindani mkubwa kufanyika Jumatatu.

Rais wa Kenya William Ruto amefanya mabadiliko makubwa katika idara ya usalama baada ya kuwafuta kazi mawaziri wote.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari