Wanaharakati wamtaka Kabila kuunda serikali ya mpito DRC

Emery Damian Kalwira, kiongozi wa Congolese Coalition for Transition

Huku shinikizo zikiendelea kupamba moto kumtaka rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, ang’atuke madarakani, vyama vya upinzani na asasi za kiraia nchini humo zinamrai rais huyo kukabidhi mamlaka kwa serikali ya mpito, ili kutoa nafasi ya uchaguzi ambao zinasema utakubalika na raia wote nchini humo.

Sauti ya Amerika ilizungumza na Kiongozi wa muungano wa mpito, Coalition des Congolais pour la Transition, Emery Damian Kalwira, ambaye anaishi mjini Brussels, nchini Ubelgiji.

Your browser doesn’t support HTML5

DRC EMERY INTERVIEW