Waathiriwa wa maporomoko DRC waomba msaada

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila. Wakaazi wa Kivu Kusini wameomba serikali iwasaidie kufuatia maafa na uharibifu wa mali uliosababishwa na maporomoko ya ardhi.

Waathiriwa wa maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa huko Kivu kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameomba serikali iwape misaada.

Hii inafuatia ripoti kwamba zaidi ya watu 120 wamefariki na wengine wengi kupoteza mali kutokana na janga hilo. Mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Autere Malivika alitembelea eneo lililoathiriwa na kutayarisha ripoti hii:

Your browser doesn’t support HTML5

DRC MPOROMOKO