Jumuiya ya kimataifa yalaani mapigano makali yanayo endelea Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya kimataifa imelaani mapigano makali yanayo endelea katika mji mkuu Khartoum na miji mingine nchini Sudan.

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kikundi cha G7 wameanza mkutano nchini Japan ambapo masuala mbalmbali yanajadiliwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari