Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Jumuiya ya BRICS yamaliza mkutano wao na kukutana na mataifa yanayotaka kujiunga nao
Your browser doesn’t support HTML5
Nchi zenye uchumi unaoendelea kwa haraka BRICS wamemaliza mkutano wao leo kwa kukutana na mataifa mengine yanayotoka kujiunga na jumuiya hiyo.