Jumba la makumbusho Brazil lamuenzi Pele

Your browser doesn’t support HTML5

Jumba la makumbusho huko Brazil limefunguwa maonyesho yake ya mchezo wa kandanda ikiwa ni hatua ya kumuenzi mchezaji nyota wa zamani nchini humo Pele kabla ya siku yake ya kuzaliwa