Siku ya kuapishwa kwa rais mpya ni kuthibitisha utaratibu unaoendelea wa serikali inayojitawala. Kiongozi mpya huapishwa, akipewa mamlaka ya kutawala kwa ridhaa ya wananchi.
Katika hotuba yake Rais Clinton alisema “Sote tuweke matumaini ya siku hii katika awamu ya kuheshimika katika historia yetu.”
Marais wapya huanza muhula wao wa uongozi kwa hotuba inayoweka msimamo kwa miaka minne ijayo.
Kitu pekee tunatakiwa kukiogopa ni hofu yenyewe.”
Katika hotuba yake ya kuapishwa Rais Kennedy alisema : Usiulize kile ambacho nchi yako inaweza kukufanyia. Jiulize kile unachoweza kukifanyia nchi yako.”
Naye Colleen Shogan, wa Jumuiya ya kutunza kumbukumbu za Historia ya White House anasema : “Kwa hakika ni fursa ya kuizindua upya Marekani. Inakuwa ni mara ya kwanza kwa rais huyo kujitambulisha kama rais wa taifa hili, na hatakuwa tena na nafasi kufanya tena hilo. Kwa hivyo, ni tukio muhimu mno katika historia ya Marekani.
Reagan alieleza kuwa :“Serikali sio muarubaini wa matatizo yetu yote. Serikali yenyewe ni tatizo.”
Iwapo ni wito wa Ronald Reagan kupunguza madaraka ya serikali kuu au ni kuapishwa kwa rais Mweusi wa kwanza wa Marekani, kuna nyakati ambapo sherehe za kuapishwa zinaonyesha uhalisia wake.
Matt Dallek, mwanahistoria wa masuala ya siasa, Chuo Kikuu cha George Washington anasema :
Wanaendelea kuikumbuka kumbukumbu ya taifa kwa sababu wanazungumzia jambo la msingi zaidi kuhusu nchi na juu ya kipindi inachokipitia.”
Inaweza pia ikawa ni kipindi cha ishara muhimu. Mwaka 1809, James Madison alihakikisha mavazi yake yote ya sherehe za kuapishwa kwake yalikuwa yametengenezwa Marekani.
Katika gwaride la kuapishwa Dwight D. Eisenhower 1953 kulikuwa na maonyesho ya nguvu za kivita za Marekani.
Shogan anaongeza : "Mwaka 1865, katika sherehe za kuapishwa kwa mara ya pili (Abraham) Lincoln, aliwakaribisha Wamarekani Weusi kushiriki katika gwaride la sherehe hizo kwa mara ya kwanza.”
Mnamo mwaka 1917, katika sherehe za kuapishwa mara ya pili Woodrow Wilson, wanawake walishiriki katika gwaride la sherehe hizo kwa mara ya kwanza.
Sherehe za kuapishwa William Henry Harrison mwaka 1841 zilikuwa na balaa kubwa zaidi. Akiwa na umri wa miaka 68, mtu mwenye umri mkubwa kuchaguliwa kwa wakati huo alitoa hotuba ya kuapishwa ndefu kuliko zote katika historia ya sherehe kama hiyo, zaidi ya saa nzima katika ya hali ya baridi kali yenye theluji.
“Alitaka kuthibitisha kuwa yenye ni mtu mwenye ari na alikuwa tayari kutumikia nafasi hiyo ya urais.
1:56 “He wanted to prove that he was vigorous and that he was up for the job as president.”
Harrison aliugua jioni yake na akafariki mwezi mmoja baadae. Na ni rais aliyehudumu kwa kipindi kifupi kuliko rais yoyote katika historia.
Sherehe za kuapishwa zimeboreshwa kutoka matukio ya kawaida hadi kuwa ni matukio ya kifahari. Kugunduliwa kwa televisheni kumefanya picha kuwa ni muhimu. Lakini kuongezeka majukumu ya kazi pia inaweza kuwa inachangia.
Inaugurations have grown from simple affairs into extravaganzas. The birth of television made visuals more important. But the increasing weight of the job might also play a role.
Dallek anaongeza kuwa : Wakati majukumu na kazi za rais zimeongezeka, nafikiri tumeshuhudia sherehe za kuapishwa zikichukua nafasi pana zaidi kuliko hali ya kawaida ya maisha huku kukiwa na sherehe na magwaride.
“As the duties and responsibilities of the president have grown, I think we've seen the inaugurals take on a larger-than-life atmosphere with the parties and the parades.”
Hizi ni sherehe za kuendeleza demokrasia ya Marekani.