Jeshi la Sudan na vikosi vya RSF vyadaiwa kubaka wanawake tangu vita izuke nchini huko

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti ya kutetea haki za binaadamu (Human Rights Watch) imesema pande zinazohusika katika mzozo wa Sudan, jeshi la Sudan na vikosi vya RSF vimehusika na unyanyasaji wa kingono na kijinsia katika mji kuu wa Khartoum.