Jeshi la DRC lapeleka wanajeshi kuzuia mashambulizi ya waasi wa M23 eneo la Karenga
Mkuu wa Jeshi mashariki mwa DRC Jenerali Mbangu Masita pamoja na makamu wake Jenerali Mutu Peke wakikagua maeneo yaliyoshambuliwa na waasi wa m23. Picha na mwandishi wa VOA Austere Malivika
Mkuu wa Jeshi mashariki mwa DRC Jenerali Mbangu Masita pamoja na makamu wake Jenerali Mutu Peke wakishauriana. Picha na mwandishi wa VOA Austere Malivika
Wanajeshi wa DRC wapelekwa katika eneo lililoshambuliwa na waasi wa M23. Picha na mwandishi wa VOA Austere Malivika
Wananchi wakilazimika kuhama makazi yao baada ya waasi wa M23 kushambulia vijiji vyao
Mkuu wa Jeshi mashariki mwa DRC Jenerali Mbangu Masita pamoja na makamu wake Jenerali Mutu Peke wakitathmini hali ya mashambulizi na kuongeza ulinzi kuzuia waasi walioshambulia kijiji cha Karenga.
Eneo ambalo waasi wa M23 wamelishambulia na kusababisha waakazi kuhama makazi yao. Picha Austere Malivika
Eneo ambalo waasi wa M23 wamelishambulia na kusababisha waakazi kuhama makazi yao. Picha Austere Malivika
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakipelekwa kuzuia mashambulizi ya waasi wa M23. Picha na Austere Malivika
Eneo ambalo waasi wa M23 wamelishambulia na kusababisha waakazi kuhama makazi yao. Picha Austere Malivika
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Picha na Austere Malivika
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakilinda doria. Picha na Austere Malivika
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Picha na mwandishi wa VOA Austere MalivikaSoldiers being deployed in rebel M23 attacked areas in DRC.