Jeshi la DRC ladhibiti maeneo kadhaa yaliokuwa yametekwa na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wachukua udhibiti wa maeneo kadhaa yaliyokuwa yametekwa na waasi wa M23.

- Mahakama Kuu Kenya yatupilia mbali rufaa iliyotaka katiba ifanyiwe marekebisho, maarufu BBI.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari