Je? vijana wanaweza kuleta mabadiliko muhimu Afrika?

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la wikiendi linaangazia mchango wa vijana katika uongozi, Je? kizazi kipya kinaweza kuleta mabadiliko yanayohitajika katika maendeleo ya bara la Afrika?