Je, unajua namna idadi ya Wahamiaji wa Kiafrika inavyoongezeka Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Waafrika wanahesabiwa kwa ukuaji wa haraka idadi ya Wahamiaji nchini Marekani.

Usikose kuungana nasi kufuatilia Matangazo ya Sauti ya Amerika barani Afrika ya mkutano wa pili wa Viongozi wa Marekani na Afrika unaofanyika mjini Washington D.C, kuanzia Desemba 13-15. Rais Joe Biden atakuwa ni mwenyeji wa wakuu wa nchi 49 za Afrika na mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika mjini Washington wakihudhuria mkutano juu ya biashara, uwekezaji na maendeleo.