Je? Safari za nje za viongozi wa serikali wa Afrika Mashariki ni ufujaji wa rasilimali za taifa?

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la wekiendi linaangazia safari za kila mara za nje za marais na mawaziri wa nchi za Afrika Mashariki, je safari hizo zinafaida kwa nchi hizo au mzigo kwa walipa kodi?