Je, Kongamano la Afrika na China lina umuhimu kwa Afrika au ni kuongeza mzigo wa mikopo?
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki iliyopita viongozi wa Afrika walikutana katika kongamano lililofanyika katika jiji la Beijing huko China. Katika kongamano hilo la tisa la ushirikiano kati ya bara la Afrika na China, mbali na mikopo zaidi, ahadi nyingi zilitolewa.