Hii ni kwa sababu ya historia ya mwaka 1977 kuvunjika kwa jumuiya hiyo kabla ya kuundwa upya. Ungana na wachambuzi wetu wakiliangalia suala hilo kwa undani zaidi...
Je, historia ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaweza kujirudia?
Your browser doesn’t support HTML5
Mivutano imezidi kushika kasi katika jumuiya ya Afrika Mashariki na hii inaanza kuzua wasiwasi kwamba huenda historia ya utangamano wa jumuiya hiyo ukaingia shubiri.