Je hatua gani zinachukuliwa kukabiliana na M-pox katika Ukanda wa Afrika Mashariki?

Your browser doesn’t support HTML5

Ugonjwa wa homa ya Nyani (M-pox) umekuwa tishio barani Afrika hususani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako kuna maambuluzi zaidi ya asilimia 90.