JARIDA LA WIKIENDI: Watu 300 wauawa Msumbiji kufuatia ghasia za uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida linaangazia hali ya siasa nchini Msumbuji baada ya kutangazwa na kuidhinishwa kwa matokeo ya uchaguzi ambapo watu zaidi ya 300 wameuawa, 2,000 kujeruniwa na maelfu kukimbilia katika nchi jirani.