JARIDA LA WIKIENDI: Vyama tawala Afrika vyadaiwa kupoteza udhibiti wa madaraka
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa miongo kadhaa, siasa za Afrika zimetawaliwa na vyama ambavyo vinaongoza serikali na vilionekana kama nguzo zisizoweza kutikisika, lakini katika miaka ya hivi karibuni, mkondo wa kisiasa umebadilika, vyama hivi vikubwa vinaanza kupoteza udhibiti wao wa madaraka.