JARIDA LA WIKIENDI: Nchi Tajiri zatakiwa kuwajibika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Huenda kutakuwepo na marekebisho kwenye mkataba unaoratibu malengo ya pamoja ya mataifa NCQG baada ya maazimio katika mkutano wa COP 29 kupendekeza dola bilioni 220 za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa