Mzozo wa Sudan wafikia hali mbaya ya kibinadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Ungana na waandishi wetu wakikuletea uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa Sudan ambao unaelezwa kuwa umefikia hali mbaya ya kibinadamu, na vipi utaathiri ukanda wa Afrika Mashariki.

Kadhalika Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza kuwa mzozo wa Sudan huenda ukaathiri baadhi ya maeneo mengine katika bara la Afrika. Endelea kusikiliza...