JARIDA LA WIKIENDI: linaangazia ushawishi wa Wanawake katika uongozi Afrika Mashariki
Your browser doesn’t support HTML5
Ushawishi wa wanawake katika uongozi, Tanzania ni nchi pekee yenye rais mwanamke katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati huo huo Uganda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote ni wanawake, na nchini Kenya wanawake wanashikilia nyadhifa muhimu za ugavana.