Jarida la Wikiendi linaangazia suala la kuahirishwa tena kwa uchaguzi mkuu Sudan Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi mkuu umeahirishwa kwa mara ya pili huko Sudan Kusini, huku serikali ikisema haiko tayari kuandaa shughuli hiyo muhimu. Je, uamuzi huo una maana gani kwa wananchi wa Sudan na ukanda huo kwa ujumla?