Jarida la Wikiendi linaangazia huduma za afya kwa wote katika nchi za Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Jarida la wikendi tunaangazia huduma za afya kwa wote katika nchi za Afrika Mashariki.

Kenya imepitisha sheria kwa nia ya kuhakikisha kila raia wake anapata huduma bora ya afya kwa gharama nafuu. Tanzania inajadili mapendekezo yenye lengo sawa na hilo. Nchi nyingine za Afrika Mashariki zinafanya nini kuhakikisha raia wake wanapata huduma bora ya afya kwa bei nafuu?