JARIDA LA WIKIENDI: Amri za kiutendaji za Rais Trump zazua mjadala duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Jarida la Wikiendi wiki hii linaangazia amri za kiutendaji za Rais Donald Trump, ambazo zimezua mjadala mkubwa duniani, ni zile kuanzia afya, mazingira na ustawi wa mataifa yanayo endelea.