Jamii ya Wanubi wataka kutambuliwa kikatiba Kenya

Tamasha la kimataifa ambalo limeshirikisha jamii ya Wanubi kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na Kati imekamilika leo katika mji wa Mombasa nchini Kenya.
Lengo kuu la tamasha hilo ilikiwa ni kufahamiana na kutaka kutambuliwa na serikali husika za Afrika Mashariki kupitia utamaduni wao wa Kihistoria.
Tamasha hilo limeandaliwa na muungano wa Wanubi kwa ushirikano na serikali za Afrika Mashariki.
Kupitia VOA viongozi wa jumuiya ya Wanubi nchini Kenya wametaka kutambuliwa kikatiba kama kabila la 43 la Kenya.
Kwa kina unaweza kusikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Mombsas, Josephat Kioko, aliyeshuhudia tamasha hilo la wanubi wa Afrika Mashariki.

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti ya mwandishi wetu Josephat Kioko ya Tamasha la Wanubi