Ishara mpya ya uwepo wa Russia Afrika yaonekana Burkina Faso

Your browser doesn’t support HTML5

Bendera za Russia zilipeperushwa Burkina Faso kufuatia mapinduzi ya kijeshi ikiwa ni ishara tosha ya kuwa wanajeshi wa nchi hiyo wanasaidiwa na wapiganaji wa Russia