Wakurdi wa Irak wapiga kura ya maoni juu ya uhuru
Rescuers pull a rubber boat carrying residents through a flooded street after Typhoon Vamco hit in Marikina City, suburban Manila, Philippines.
Wapiga kura watafuta majina yao katika kituo cha kupiga kura mjini Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)
Familia za wakurdi wa Iraq wakipiga picha wanapopiga kura katika ucahguzi wa kihistoria wa kudai uhuru wao, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)
Rais wa jimbo la Kurdistan nchini Irak Masoud Barzani anasema anaamini malalamiko ya kimataifa kuhusiana na kura ya maoni yatamalizika baada ya wanchi wataidhinisha pendekezo hilo. Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 24, 2017. (H. Shekha/VOA)
Wazee na vijana walijitokeza kupiga kura kuamua ikiwa Wakurdi wajitangaziye uhuru au la, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)
A Kurdish woman holds up her six-month-old boy, Botan, with ink on his hand, which symbolizes to their family that the future of Kurdistan is independence, in Irbil, Iraqi Kurdistan, Sept. 25, 2017. (H. Murdock/VOA)