Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kuhusu waandishi hao walivyolazimika kuacha shughuli za tasnia yao na kuendeleza mgomo kila siku wakipigania haki zao.
Hollywood: Waandishi wa filamu na televisheni Marekani waendelea na mgomo
Your browser doesn’t support HTML5
Kuanzia mwezi Mei waandishi wa filamu Hollywood wamekuwa ni tukio la kila siku nje ya studio za filamu wakiwa na mabango na kudai malipo zaidi.