Hoja kwa Hoja

  • VOA Swahili

Waziri wa Elimu ya Juu William Ruto, mwanaharakati Lumumba Odenda na mwandishi habari Kasuja Onyonyi katika mjadala kuhusu kipengele cha mahakama za kadhi katika mapendekeo ya katiba, Kenya.