Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati

Your browser doesn’t support HTML5

JARIDA LA WIKIENDI linaangazia mzozo wa Mashariki ya Kati, vita kati ya Israel na Wanamgambo wa Hezbollah, Hamas, wa wahouthi wanaorusha makombora kutoka Yemen, wakati Iran pia ikirusha makombora ya masafa marefu kuelekea Israel.