Harris na Trump wakutana kwa mara ya kwanza katika mdahalo wa rais

Your browser doesn’t support HTML5

Kamala Harris na Donald Trump kukutana ana kwa ana mara ya kwanza katika mdahalo usiku wa Jumanne.

Shutuma za kimataifa zimeongezeka dhidi ya serikali ya Tanzania kutokana na mauaji ya mmoja wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani, Chadema

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari