Harris: Donald Trump amethibitisha yeye mwenyewe anazidi kutokuwa na uthabiti

Your browser doesn’t support HTML5

Upigaji kura wa mapema unaendelea katika majimbo kadhaa, Makamu Rais na mgombea urais Kamala Harris akizungumza na waandishi wa habari amezidisha ukosoaji kwa mpinzani wake wa kisiasa Rais wa zamani Donald Trump.

Harris anasema kuwa Donald Trump amethibitisha yeye mwenyewe anazidi kutokuwa na uthabiti. Sikiliza ripoti kamili...