Utulivu warejea DRC baada ya mauaji ya watu 30

Maandamano yafanyika DRC kupinga uongozi wa rais Joseph Kabila.

Na Austere Malivika

Hali ya utulivu iliripotiwa kuerejea katika mji wa Chipaka, baada ya mapigano makali yaliyotokea jana usiku kati ya kundi jipya la wapiganaji na jeshi la Serikali,

Taarifa zasema kuwa takriban watu 30, wengi wao wakiwa ni wapiganaji waliuliwa.

Wakati hayo yakiarifiwa, wachambuzi wa maswala ya siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanapendekeza kwamba Rais Kabila na kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi, kufanya mkutano mnamo tarehe 19 mwezi huu, na kutatua mzozo wa kisiasa unaokabili taifa hilo.

Your browser doesn’t support HTML5

utulivu warejea DRC baada ya mauaji ya watu 30