Mzozo wa fedha wa Ugriki unazorota zaidi
Ukriki inajitayarisha kwa ghasia zaidi barabarani kutokana na kuendelea kufungwa mabenki. watu wako nje ya tawi la benki iliyofungwa, July 3, 2015.
Wauza nyama wanawasubiri wanunuzi katika soko la nyama kati kati ya mji wa Athens, July 3, 2015.
Watu wamesimama kwenye mstari mrefu wakisubiri kutoa fedha kutoka mashini ya fedha mjini Athens, July 3, 2015.
Mama mzee ananunua bidhaa katika soko la mboga lililotupu mjini Athens, July 3, 2015.
Mwanachama wa chama cha kikomunisti cha wafanyakazi PAME, akiwapigia makelele polisi wakati wa maandamano dhidi ya mpango wa kupunguza matumizi Athens, July 3, 2015.